Post ya Haji Manara jana usiku ilizua maswali mengi hadi
baadhi ya watu kuhisi kwamba Manara huenda anataka kuikacha Simba
kutokana na alichokiandika kwenye ukurasa wake wa Instagra.
“Umbe aliondika Manara ulisomeka hivi: Nia yangu ni njema sana lakini na mimi nina nyongo sihitaji heshima ila walau nipewe utu ninaostahili nimefanya kwa kadiri nilivyojaaliwa a Mungu ila lazima tusonge mbele kwa maslahi mapana ya klabu.”

Baada ya mjadala kuwa mkubwa kuhusu post hiyo hadi baadhi ya vyombo vya habari kuripoti kwamba huenda kuna kutofautiana kati ya manara na uongozi wa juu wa Simba Mana aliifuta post hiyo kisha post ujumbe mwingine unaoashiria hana mpango wa kuiacha Simba.
“Siondoki Simba na naomba muelewe hivyo..ninafanya kazi sehemu sahihi na wakati sahihi..rafiki zangu na washabiki wa klabu muelewe hivyo..walichokitangaza ni uzushi…nawezaje kuwacha Simba kipindi hiki muhimu?
#ThisIsSimba #SimbaSCNguvuMoja, we are together.”